Thursday, March 11

Ukumbusho wa wakaka wa familia ya Masika

Joseph Masika (Babu), Ernest Masika (Lelo) na Beatus Masika (Bahati)

 Joseph & Ernest 
Handsome boy Beatus aka Bahati

Hapa Beatus akiwa na miezi minne (4)
 Joseph akiwa na miezi tisa (9)

Hii ni picha ya zamani sana ya Ernest, hii ni mwaka 2000 hapa naye akiwa na miezi tisa (9)

1 comment:

Elyc said...

Hongera kwa kukuza. Cha pili hongera nyingiiii kwa kuwa mtunzaji mzuri wa makochi yaani hapo nakupa bigup maana wala hayajachoka wala kubadilika rangi,mimi ninatatizo moja la kukinai vitu makochi yakikaa miaka miwili basi yana bahati sana,kitu ambacho nimekaa nacho toka nianze maisha ni kitanda,godoro na kabati la nguo! Hongera kwa utunzaji na usafi!!!!!