Saturday, July 31

Happy birthday Ashlyn

 
(Mdau Ashlyn akiwa na ma'mtu, Goodlove na ba'mtu Albinus. Hii ni moja ya picha maalumu ya mwaka mmoja ya Ashlyn)
 
Leo mdau Ashlyn Kerya anatimiza anafunga mwaka (1).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Ashlyn maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: