Wednesday, August 11

Hope anawapa hi!!!


Mdau mcuuuuute Hope Wandera


Hiyo picha nyingine yupo na mama yake Mrs.Justina Wandera...mmmh, mmependeza!

HOPE anawapa hi wadau wooote wa mama na mwana. Pia anawakaribisha watoto woteeee Arusha na anasema anawapenda!!!!.

2 comments:

Anonymous said...

Jiang naomba msaada. Pepopunda, kifaduro na donda koo kwa kingereza yanaitwaje?

Anonymous said...

wazuri sana,na baby girl so cute amekamilika