Sijui kama kuna mtoto ambaye hadi anakua anakosa kutoka nundu
ya kichwa!!! So najua kwa wengi sio tatizo la kuogopesha, maana ni kawaida tu.
Muoto wa uvimbe katika kichwa kwa kujigonga ni kawaida, hasa
kwa watoto watundu. Ingawa uvimbe huo katika kichwa huleta hofu, haimaanishi
kuwa mwanao ameumia sana.
Kupunguza uvimbe ule, paka au weka barafu katika taulo uweke
katika uvimbe huo kwa muda wa dakika 15 mpaka 20.Ukiwa unambembeleza au
unamsomea kijitabu (deko tym) itampelekea kutosikilizia maumivu.
If you think that your child is bothered by the bump, you can
give him the appropriate dose of acetaminophen or ibuprofen. Never give your
child aspirin, which can lead to a rare but serious condition called Reye's
syndrome.
Kama unahisi kwamba mwanao anasumbuliwa na uvimbe huo,
unaweza ukampatia dawa za kupunguza maumivu kama Panadol.
No comments:
Post a Comment