Tuesday, December 16

Cutee Lisa-Joann

Baby Lisa-Joann pamoja na wazazi wake, Bruce Erick, na Stella, wakipozi kwenye picha nyumbani kwao Witchita,Kansas,USA. Anti wa mtoto Lia-Joann, Ikunda anawatakia kaka na wifi yake afya njema na makuzi mema ya mtoto.

No comments: