Tuesday, December 9

Happy Uhuru Day - Watoto


Watoto 2,000 wa halaiki kutoka shule mbalimbali, ambao hawazidi miaka 12, wakijipanga tayari kwa kutoa burudani yao safii.

Hapa wanapiga gwaride ili watengeneze ramani ya Tanganyika.

Wakiwa wamekaa, wamejipanga kwenye umbo la ramani ya Tanganyika.

Wanaonyesha style mbalimbali kwenye umbo hilo.

Wanajivuruga kurudi kwenye mistari. Watoto hawa pia walitengeneza umbo linalosomeka 'Miaka 47 ya Uhuru'. Burudani hii imepata mashabiki wengi sana, sawa na gwaride la wanajeshi, tangu ianze kutumika kwenye sharehe hizi.

1 comment:

Anonymous said...

Hi, blog ni nzuri sana, nimeipenda, hongera kwa kuwa mbunifu. mimi kwa kuwa ni mama, ni mdau automaticaly.
Ushauri wangu, usitumie rangi ya Njano kuandika texts, haisomeki vizuri/ kwa urahisi (iko very light) tumia rangi zinazokolea, dark colors inasomeka kwa urahisi na inapendeza zaidi. kwa mfano pale ulipoandika
''Hapa wanapiga gwaride ili watengeneze ramani ya Tanganyika".
inasomeka kwa shida
Kila la heri!