Aurelia akiwa amebebwa na baba yake, Richard. Naona hii style ya kubeba watoto mabegani kina baba wengi wanaipenda.
(Mama mtoto (Upendo) tafadhali msaada wa tafsiri, tusimuache shameji kwenye mataa, maana kama kidhungu kilivyo wito kwa mswahili, hata kiswahili ni wito kwa mzungu).
No comments:
Post a Comment