Tuesday, January 6

Happy Birthday Salim

Mdau namba moja wa Blog hii ya jamii Salim Malumbo Jr leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 4. Wazazi wake wanamtakia kila la heri na maisha marefu mtoto wao.

No comments: