Monday, March 30

Happy Birthday Sopy

Leo mdau Sophia Mahanga wa kule mji mkuu, Dodoma, anatimiza miaka mitatu. Wadau woote wa Mama na Mwna tunamtakia maisha mema yenye heri na fanaka tele.
Picha za bday party arr comming soo.

No comments: