Friday, March 20

Sham In Full Jeans

Mtoto ana mapozi huyu jamani, kama anajua alivyo mzuri. Hapa Shambara aka Sham kapiga full jeans, na kwa pozi kama hili inabidi apate tangazo, afu ananikumbusha binti mmoja hivi alikua mrembo marekani. Story yake ntawapa siku nyingine.

No comments: