Monday, October 26

Athina toka Arusha

Mdau mpya toka A-City.
Anaitwa Athina Spiro, ni m-beauty wa ukweli, na ana pozi za ukweli, kuhusu jina hata sisemi, aliyewahi kulisikia aseme!
Mi nimempenda sana, wadau mnasemaje?

8 comments:

Anonymous said...

kweil katoto kazuri sana, na kana pozi za ukweli, ila jina lake mbona lipo sana na wala sio geni kiivyo.

Anonymous said...

Preeti preeti,simple stunning..natural beauty de pic has a sense of warmth&serenity..I l.O.V.E YOU Athina

Anonymous said...

Preeti preeti,simple stunning..natural beauty de pic has a sense of warmth&serenity..I l.O.V.E YOU Athina

shamy said...

mwenzangu sijawahi kulisikia hilo jina we utakuwa unasemea asina ila la huyu nazani ni athina and not asina ila kwa kweli mashalah mtoto ni mrembo mweneyezi mungu amkuze hongera kwa wazazi wa athina.

Anonymous said...

Athina!! aka ANEY!!!
VERY VERY VERY BEAUTIFUL.
ALLAH AKUZIDISHIE MAMY.
disminder.

Anonymous said...

Nimempenda bure huyo mtoto so adorable....sama shule sawa binti....

Anonymous said...

Hilo jina lipo sana tu mitaani, tena sana hasa. Nimempenda mcute sana but jina siyo unique.

Anonymous said...

jina la kigiriki,labda mmoja wa wazazi wake ni mgiriki.greece