Tuesday, August 31

Bibi na timu ya wajukuuu!


Bibi Cleopatra (mwenye top ya blue) na ndugu zake Xavier, Junior, Loreen na Collins, bibi anakoma na team ya wajukuu but she is so Happy namtakia bibi X maisha marefu aje kupiga picha na vitukuu pia. I love her.
 From Glory Mkwawa (mama Cleopatra)

No comments: