Monday, August 30

Wadau namba two wanakuja!

Nachukua nafasi hii kuwapongeza wadau watatu, kwa kuwa karibuni watapata wadogo zao.
Wadau hao ni Brian Kamugisha, Jayson James na Khloe Mfumu.
Pia nawapongeza wazazi wao, na kuwatakia kheri na fanaka katika safari hiyo fupi, Mungu awajaalie wajifungue salama tuongeza wanachama katika libeneke hili.

1 comment:

Anonymous said...

Jiang nilianza kukupongeza nikijua mdogo wake X yuko njiani, kichwa cha habari kimeniponza, any way tunasubiri mkiwa tayari mungu atawabariki na mdogo wake X