Monday, August 30

Happy birthday Husna

Leo mdau Husna Masanjala anatimiza anatimiza miaka minne(4).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Husna maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: