Monday, August 30

Happy birthday Hosam

 
Leo mdau Hosam Hassan anatimiza anatimiza miaka mitatu (3).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Hosam maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 
 


 

No comments: