Saturday, August 28

Happy birthday Shemsa

Leo mdau Shemsa Murshid Kachwamba anatimiza anatimiza miaka mitatu (3).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Shemsa maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: