Wednesday, September 1

Happy birthday Thierry

 
Leo mdau Thierry Murunga anatimiza anatimiza miaka miwili (2).

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Thierry maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana.

No comments: