Wednesday, September 1

Best wishes STD VII - Joseph

Shikamoo Aunt,
 
Naomba unitumie kwenye blog ya mamanamwana  salamu hizi  za dhati kwa kaka na dada zangu wa "Mount Everest Primary School"  pamoja na shule nyingine zote hapa Tanzania  ambao wanamaliza elimu ya msingi. Binafsi nawatakia dada na kaka zangu hawa mtihani mwema,  Mwenyezi Mungu awape upeo wa kukumbuka waliofundishwa na Walimu ili waweze kufanya mtihani wao na kufaulu wote.
 
Asante Aunt,
 
Ni mimi,
 

Joseph Gaston Masika
(STD V - Mount Everest Primary School).

No comments: