Wednesday, September 1

Moureen anawapa hi!


Mdau Moureen anawapa hi' wadau wote wa mama na mwana. Hapo akiwa na umri wa miezi miwili. 
Anasema anawapenda sana wazazi wake kwa kumtunza vizuri. Pia anapenda sana kucheza na watoto wenzake.

No comments: