Wednesday, March 14

Happy Birthday Joan

Leo unatimiza umri wa miaka 7 . 
Hongera. 
Mama, Baba na Bibi Joan wanakupenda sana. 
(Aunties) Mama Emmanuel, Mama Cleopatra na Uncle Justin wanakupenda pia.
Pia kaka Geof, Cleopatra na Emmanuel wanakupenda wanajua unawapenda sana

Ujumbe: Uache utundu usome

No comments: