Friday, March 16

Newton Baptism

 Newton akipakwa mafuta (aliyemshika ni baba yake wa ubatizo).

 Akimwagiwa maji ya ubatizo.


 Akipakwa mafuta, katuliiiiia mwenyewe.

Newton, ma'mtu na baba wa ubatizo.
 Hongera Newton kwa ubatizo tunasubiri na picha za komunio na kipaimara miaka ijayo.


No comments: