Tuesday, March 20

Watoto wa Femina kwenye photoshootBeautiful girls Xyleen and Cleopatra, walikuwa happy kupita maelezo.
Full fujo....afu nyumbani kwa bosi, balaa! Xchyler akiweka mapozi.

 Maalik

 Dickson

 Dainess
 Ni mapacha hawa, Dickson ni Kulwa na Dainess ni Dotto.


 Xchyler, Cleopatra, Daines na Nailah.

 Cleopatra, Daines na Xchyler wakishow love. 

Walikutana kwenye photoshoot ya watoto wa Femina ilikuwa bomba ile mbayaaa.No comments: