Thursday, September 13

Happy birthday Verena
Mdau mpya Verena anatimiza miaka mitatu leo 13.09.12. Verena anaishi Kinondoni Dar er Salaam.

Salamu nyingi za pongezi toka kwa dada mtu Felista  na anamtakia kila lakheri. 
Na mama mkubwa Upendo anakupongeza sana sana mtoto mzuri Verena katika siku yako muhimu ya kuzaliwa. Tunakupenda sana.

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Tony maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 

No comments: