Friday, September 7

Happy (belated) birthday Felista


 Mdau Felista Shoni Halvorsen ametimiza miaka miwili jana. 

 Ma'mtu Upendo na baba yake Petter  tunampongeza mwanetu mpendwa kutimiza miaka miwili. Hatuna mengi yakusema basi ni mungu tu ndo anajua furaha yetu.


Jana alisherekea na mama na baba na leo Ijumaa atasherekea na ndugu na jamaa na marafiki.
 Felista anawatakia maisha marefu ya heri na baraka watoto wenzake wote walozaliwa siku yaleo.
 Tunamtakia maisha mema na yenye baraka.

Mama na Mwana pamoja na wadau wooote tunamtakia Tony maisha mema, marefu yenye kheri na fanaka tele, Mungu amjaalie sana. 


No comments: