Sunday, December 30

Tembelea blog mpya ya swahili lyrics

Mie kuimba sijui, ingawa naimbia bafuni tu napenda sana kujua kila neno kwenye nyimbo nnazozizimia...

Nilikua napata tabu sana kwenye nyimbo zetu (kiukweli nyimbo zote mpya za Diamond sisikii kabisa maneno--cjui ndio kuzeeke, kha!)...now nshapata dawa!
Kupitia blog ya  SHUKA VERSE  sipati tabu...

Nilikua natatizwa baadhi ya maneno ya my curently fav swahili song, Mapito ya Mwasiti (this girl can SING!, kiukweli naupiga 24/7) through hiyo blog nimpata maneno yote...
Tembelea uone!

No comments: