Monday, December 31

Surprise- Xy kabatizwa!

...Yes, X-mas hii tulikua kwa bibi Mbingaaaa! 
Siku ya mkesha wa X-mas, wakati wakristo duniani kote wakisubiri kusherehekea birthday ya Yesu, mwanangu alizaliwa katika Kristu....
Xyleen akabatizwa kanisa lile lile alilobatiziwa baba yake na kaka yake!!!

...Hapa na mama wa ubatizo...
...final touches...kila mtu lazima apendeze...

 ...baba alikua na double duty...mpiga kinanda na baba wa mtoto anayebatizwa...
 ...maji ya baridi  na baridi la Mbinga balaa...!

...Big Brother alikua ni fujo mwanzo mwisho!

 ...akiwa na Bibi Keko...

 ...na mam...

At last binti yangu alizaliwa kwenye Krisu na kuwa mkristu kamili kwa jina la Lerato Xyleen Mapunda...

5 comments:

Anonymous said...

Hee kumbe wakunyumba! Hongera sana, namuona mkristu mpya hana wasi wasi utadhani anaelewa kinachoendelea. Felista anasema ``mtoto apendeza gauni na mama wake``.

Anonymous said...

Hongereni sana, na alipendeza mno!

Anonymous said...

hongera baby XL kwa ubatizo, mambo ya mbinga wakunyumba mmeenda kuhesabiwa safi sana watoto wanajidai na ndugu zao mama wa ubatizo ni shangazi yao kina Lerato? bibi wa keko ni mama yako wewe au mama wa baba xl?

Jiang said...

Asanteni wote kwa pongezi.
Mama wa ubatizo ni jirani na bibi, ni mtu wa karibu sana.
Bibi wa Keko ni mama yangu, ukisikia bibi Mbinga ni mama wa Six.

Thanks.

Anonymous said...

hili ndilo jambo jema kwa kila mkristo anatakiwa kulifanya duniani hongera sana Jiang.mmependeza sana sana ivoonekana nyie ndo mlifunika kijiji hahahaa kijijini rahaaa sana

classmate