Thursday, June 13

Birthday party ya Hoka ilinoga haswa!

Birthday girl...beautiful Hoka...
Hoka birthday tarehe 24/5/2013 alisharehekea akiwa na marafiki zake na majirani zake. 

..tamtam... "Namshukuru mungu sana kwa mwanangu kufikisha miaka hiyo mungu azidi kumkuza vema."
Asante mama yake Hoka.

No comments: