Wednesday, December 3

Jayson's Bright Eyes


Mtoto Jayson James akiwa PhotoPoint Studio. Kuna wakati juzi kati ilikua inaonekana ushamba sana kupiga picha studio, ila siku hizi, mtoto wa hapa mjini hajakua bila kupelekwa photopoint kupigwa picha. Harusi ndio usiseme.

2 comments:

Anonymous said...

mtoto mzuri jamani, kweli ni bright eyes.

Anonymous said...

Wao Jayson, what a cute name like the way he looks like, jamani nawapa big up baba na mama yake kwa mtoto bomba, i cant imagine wazazi wake walivyobomba