Hapa Baba X, Mama X na X mwenyewe, tumekula pozi kali, tulivyompleka dogo akapige picha za kutimiza mwaka mmoja juzi (alikua hajapiga bado), maana kwetu kumbukumbu ya picha ni muhimu sana.
Official picha ya Xchyler ya mwaka mmoja ntairusha soon, ila hii nimeileta kutokana na ubishi mkali unaoendelea ndani ya nyumba yetu, Xchyler kafanana na nani, Jiang au Sixtus?
Wadau tusaidieni kuamua, maana hadi sasa tumetoka na kura moja moja, X kakataa kupiga, kisa yeye ni judge.
26 comments:
hamna ubishi yaani ni baba yake typical lol! hadi raha
Hivi kuchangia swali kama hili hakuwezi kweli kuleta ugomvi. nauliza tu. Ikiwa anayefanana naye si kati yenu haiwezi kweli kuleta maswali. nauliza tu jamani.
Utani tu!
Mmependeza mno! Yaani sina hata maneno ya kuelezea! Ah huyo kafanana na nani ngoja niwaachie wadau wengine maana naona patakuwa hapatoshi!
kafanana na baba yake macho, ila sura ya mama yake.
nusu kwa nusu!!!
loooooooh, jamani so cute so preety n so lovly.. wote mmefanana jamani. kuanzia baba mama hadi mheshimiwa x. hii inaashiria mtazidi kuwa na maisha marefu yenye furaha na amani pamoja! maana mnapendana hadi mnafanana, hatari kwelikweli! ila mimi utata uko kwenye majina yenu tu, kuanzia la baba, lako na la mwanenu. ivi maana zake ni nini, nani aliwapa na asli yake ni nn hasa? hongera sana dada.. ur family rocks1
Upande mwingine baba upande mwingine mama. All in All mmependeza sana. Tunangoja picha zaidi.
Ma John
Mza
hajafanana na yeyote labda amechanganya.ila baba handsome zaidi.
hajafanana na yeyote labda amechanganya.ila baba handsome zaidi.
shost x kafanana na dingi yake japo kuna time naona mmefanana na sixtus hasa mkicheka
Aisee, to be sincere X kamix sura zote coz lips ni za mama, pua ni baba,so above all jiang na sixtus pia you look alike so X is a mixture of you too (dad and mom) how wonderful!!!!
Nice Family.
luk gud, umekata nywele? still beautiful though. kufanana mmm subiri afikishe miaka 2 angalau naona sura bado inaundwa, kipindi cha mpito sijui niseme
X kafanana na baba yake. pole japokuwa itakuumiza kwa kuwa ulikuwa unajipa moyo kuwa kafanana na wewe
No Comment!!! X kafanana na mama jamani, baba kwa mbali sana, ila waswahili wanasema damu nzito kuliko maji, sura ya baba nayo ipo kidogo.
jiang kirefu cha BMW ni Be My wife!
Hi couple! kwakweli wote mnafanana,ila X kawafanania wote wawili Mama kichwa,Baba uso ila uamuzi mzuri ni kungoja aendelee kukua kidogo ili nayo sura iwe bayana.Kila la heri ila J sio siri unapendeza unapopunguza nywele.Hivyo mimi nakushauri ubadilishe hata hiyo picha kwenye profile yako.Nasema hivyo kwakuwa sijawahi kukuona live.
Ila mimi sijawahi kujua kama una mume handsome kiasi hicho.
Picha nzuri sana ya familia. mimi naona X kafanana na mama yake.
Jiang hapo huna chako! Paji la uso, macho, pua ni six mtupu! labda smile ndo kidoogo mnfanana!Ila hili swali mmh hamchelewi kuishia kwenye DNA test!!
mmetoka chicha ila ni dad wake copy hiyo huna chako hapo mwana!
Sasa nachangia.
An experience of myself. Nikiendaga kwa upande alikozaliwa mama wanasema ninafananafanana na wajomba. Nikiendaga kwa kina baba wanasema nafanana na baba. if this is something one can bank on, and from the mixed reactions on who resembles the baby most, the mtoto is more of the mother than the father. Amenyakua features from both, ila zimezidi kwa aliyevaa nguo na hereni nyekundu
jamani x ni handsome kama dad yake, hongera jiang you have got 2 handsome in your family , jitahidi utafute ka baby girl achukue beautiness yako
huyu wako bibie, sura yako hio, especially pua. You looked sooooo cute kwakweli, nimewapenda kweli,Mungu awaongoze vema kwenye familia yenu, mumeo seems to be very supportive, that's a good start for a healthy family relationship. Keep it up dears, na Mungu atawale familia yenu
mtoto handsome kama baba yake mtupu
xchyler looks like uncle alipo ie kiduuchu he resembles his mom.
Post a Comment