Showing posts with label BMW. Show all posts
Showing posts with label BMW. Show all posts

Tuesday, November 20

Am counting my blessings!

These are my blessings I count everyday n  thank God for them sana sana sana.
Kila siku nikilala nao na kuamka nao salama, ni amani sana moyoni kwangu hata kama mfukoni sina kitu! With these three sihitaji zaidi!

Ila...ile ligi bado inaendelea...now that tumefunga hesabu...nani katoa fotokopi?

Saturday, June 6

BMW - Kusekwa Family

Hapa ni beautiful Valencia akiwa amepakatwa na mama yake, Lulu Kilonzo, pembeni mwenye ki-vest ni Vicent mikononi mwa baba, Mr Kusekwa na huyo pembeni ni cousin/binamu yao, ambaye naye ni m-cute na anafanana nao kama kaka yao vile anaitwa Geofrey.
Kiukweli wamependeza sana.

Wednesday, June 3

BMM - Sixtus, Jiang, Xchyler

Wadau si mnajua kirefu cha BMW ni Baba, Mama, Watoto? Sasa hii ni Baba, Mama, Mtoto (BMM).
Hapa Baba X, Mama X na X mwenyewe, tumekula pozi kali, tulivyompleka dogo akapige picha za kutimiza mwaka mmoja juzi (alikua hajapiga bado), maana kwetu kumbukumbu ya picha ni muhimu sana.
Official picha ya Xchyler ya mwaka mmoja ntairusha soon, ila hii nimeileta kutokana na ubishi mkali unaoendelea ndani ya nyumba yetu, Xchyler kafanana na nani, Jiang au Sixtus?
Wadau tusaidieni kuamua, maana hadi sasa tumetoka na kura moja moja, X kakataa kupiga, kisa yeye ni judge.