Saturday, June 6

BMW - Kusekwa Family

Hapa ni beautiful Valencia akiwa amepakatwa na mama yake, Lulu Kilonzo, pembeni mwenye ki-vest ni Vicent mikononi mwa baba, Mr Kusekwa na huyo pembeni ni cousin/binamu yao, ambaye naye ni m-cute na anafanana nao kama kaka yao vile anaitwa Geofrey.
Kiukweli wamependeza sana.

2 comments:

Anonymous said...

What a beeeutiful family Lulu...jamani Im happy u v written ya mail add.OOh Im sooo gonna write to u.Umenichekesha....Do u remember tulivyokuwa tunamind light diet(ya wagonjwa)..those were the days

Anonymous said...

Du wadau wa Msalato Secondary tunafurahi tunapoona matunda kama haya.Inapendeza na tumshukuru Mungu kwani Lulu umeendelea kupendeza. Unakumbuka Chidosa, Balisidya, Mwongozo, Azimio na Mwenge?