Monday, May 18

Salamu toka UK kwa Abra

"Naitwa Abra ninamiezi tisa nimependa kutoa salam kwa watoto wote wa mama na mwana hapo nyumbani. Kwani mimi niko London lakini napenda kuwasalimia watoto wenzangu kwa kupitia kwa mamanamwana nikifikisha birthday yangu nitawafahamisha wototo wote tusheherekeee pamoja ."

1 comment:

Anonymous said...

mashaallah mtoto mzuri, mungu amkuze na amuongoze kwenye matendo mema ya dini yake.