Sunday, May 17

Janice Anawapa Hi!

Janice mwenye umri wa miezi 7 anawatakia watoto wote maisha mema na kuwaambia wamama wote anawapenda ikiwa hii ni wiki yaMothers day.

3 comments:

Anonymous said...

OOh God!! she looks gorgeous is she? Mungu amuongoze akue katika maadili mema.Jina lako nimelipenda sana.....

Anonymous said...

Ooh so pretty!! She look like Wema Sepetu's baby.Dosen't She?

Anonymous said...

mmh 7 months au 17months she looks to be a todler to me, au picha tu jamani utadhani anazaidi ya mwaka, cute girl