Sunday, May 17

Baba na Mwana Kariakoo



Posted by PicasaMsweeden aliyejitambulisha kama Hans Oisson akiwa amembeba binti yake Saba wakizungukia mitaa ya kariakoo hivi karibuni.
Swali: Wababa wa kibongo mnawezaaa? Kwanza kubeba mtoto mgongoni, pili kuzurura nae umbali mrefu toka home peke yako, mnaweza?
(Picha na Benard Rwebangira wa BongoPicha)

2 comments:

Anonymous said...

Sister Jiang mimi nimeguswa sana na kitendo cha huyu jamaa kuweza kutembea na mwanae akiwa amembeba mgongoni,kazi ambayo wengi wetu huona kama nikazi ya kina mama peke yao.Ubarikiwe sana Sister kwa kujitoa na kwa kutumia muda wako mwingi kutuletea picha zenye mguso kama hii ya huyu jamaa.

Anonymous said...

Sister Jiang nimeguswa sana na kitindo cha huyu Msweeden kuweza kutembea na mwanae akiwa amembeba mgongoni,kazi ambayo wengi wetu tunaona kuwa nikazi ya kina mama peke yao.Ubarikiwe sana kwa kutuletea picha kama hizi zenye mguso kama hii ya huyu jamaa.Kusema kweli kwa hili wabongo tuko nyuma,wachache sana wanaoweza.