Wadau Faraja (Oscar) akiwa na wadogo zake Christian(wa kiume) na Audery (wa kike) wakisherehekea sikukuu ya X mas home kwao huko Denmark.
Cuuuuuuuuuuuute...kama kawaida yao.
10 comments:
Anonymous
said...
Hi, mimi ni moja wa watu ambao najitahidi kupitia blog yako when i got time na nimependezwa nayo kiasi cha kunifanya niwe naitathmini kunakitu nimegundua sijui kama na wewe umekiona. COMMENTS- hauna nyingi japo unajitahidi kupost picha nyingi za watoto. Main issue hapa si kupost picha tu embu anza kuandika vitu ambavyo vitawasaidia wazazi kuboresha mahusiano na malezi na watoto wao alafu utaona kitakachotokea. Trust me kama unapata awatu wakutuma pix pasi ujue unaowashabiki ila tu unatakiwa kuongeza maboresho. LM
Unajua kila mtu na mawazo yake. Hulazimishwi kuangalia hapa au anzisha yako tuone. Muuandaaji uzi huo huo nami nitaleta za wanangu. Ila watoto wamependeza sana acheni wivu na roho mbaya haijengi. Mwenye sifa mpeni.
Wewe kila mtu na mawazo yake. wakati anafikiri kuanzisha blog hii aliwaza kwanza na hakukurupuka tu. Dada uzi huo huo picha kwa sana nami natuma za wanangu kesho km huna watoto katafute. wadau tupo kila cku hapa km unaboreka ipotezeee tafuta blog ingine ukawe mdau. Ila nirudi kwenye maada, Watoto wazuri na wamependeza sana jamani wivu na roho mbaya havijengi. Kwani ukicfia mtu unapungukiwa nini jamani? Binadamu wengine bwana.
LM, asante kwa kupitia blog yangu. ushauri wako nimeusikia na nimeuelewa, kuna kitu kikubwa zaidi nafanyia kazi sasa, am sure kila mtu atafurahi, Mungu akijaalia kitakua tayari by the end of January. wadau endeleeni kunisapoti, kunipa moyo na kuniombea mambo nnayotayarisha yaende vizuri maana wote mtafurahi. pia endeleeni kutoa ushauri wa kuzidi kuboresha blog yetu.
10 comments:
Hi, mimi ni moja wa watu ambao najitahidi kupitia blog yako when i got time na nimependezwa nayo kiasi cha kunifanya niwe naitathmini kunakitu nimegundua sijui kama na wewe umekiona. COMMENTS- hauna nyingi japo unajitahidi kupost picha nyingi za watoto. Main issue hapa si kupost picha tu embu anza kuandika vitu ambavyo vitawasaidia wazazi kuboresha mahusiano na malezi na watoto wao alafu utaona kitakachotokea.
Trust me kama unapata awatu wakutuma pix pasi ujue unaowashabiki ila tu unatakiwa kuongeza maboresho.
LM
Unajua kila mtu na mawazo yake. Hulazimishwi kuangalia hapa au anzisha yako tuone. Muuandaaji uzi huo huo nami nitaleta za wanangu. Ila watoto wamependeza sana acheni wivu na roho mbaya haijengi. Mwenye sifa mpeni.
Wewe kila mtu na mawazo yake. wakati anafikiri kuanzisha blog hii aliwaza kwanza na hakukurupuka tu. Dada uzi huo huo picha kwa sana nami natuma za wanangu kesho km huna watoto katafute. wadau tupo kila cku hapa km unaboreka ipotezeee tafuta blog ingine ukawe mdau. Ila nirudi kwenye maada, Watoto wazuri na wamependeza sana jamani wivu na roho mbaya havijengi. Kwani ukicfia mtu unapungukiwa nini jamani? Binadamu wengine bwana.
MKO POUWA SANA
Tuache majungu jamani. Watoto wako muzuri
I wish to hv one. so cute
wamependeza jamani
LM,
asante kwa kupitia blog yangu.
ushauri wako nimeusikia na nimeuelewa, kuna kitu kikubwa zaidi nafanyia kazi sasa, am sure kila mtu atafurahi, Mungu akijaalia kitakua tayari by the end of January.
wadau endeleeni kunisapoti, kunipa moyo na kuniombea mambo nnayotayarisha yaende vizuri maana wote mtafurahi.
pia endeleeni kutoa ushauri wa kuzidi kuboresha blog yetu.
jamani alikuwa anatoa mawazo msikimbilie majungu
So cuteeeeeeee!! Mungu nijalie nami nipate wangu!!!
Post a Comment