Glory Moshi, akiwa amependeza kwa kila aina ya pigo, ntoto ni mcute sana, na I bet mama yake, Jacqueline Moshi wa Darhotwire, anamalizia mshahara kwa mapigo ya mtoto. Tarehe 15 mwezi huu (Jumatatu), anatimiza miezi saba.
--Lady in Red.------Kumetisha muhimu!
--Just Angelic.---------Cuuuute!-------Pink is for girls.
1 comment:
Jamani Jacky mbona sioni kivazi nilichomletea cute Glory nimekumind
aunt zeze
Post a Comment