Tuesday, January 6

Mdahalo: Watoto Kuonja Pombe

Mtoto huyu mkazi wa Dar es Salaam aliwashangaza wengi katika fukwe ya Coco Beach siku ya X Mas kwa umahiri wake wa kufakamia Safari Laga bila kutikisika. Kwa mujibu wa mama yake mdau huyu huondoka hadi bia mbili na yupo fiti.
Najua kitaalam hii haiko sawa kabisa lakini hii si mara ya kwanza kuona mtoto,tena wengine wadogo kuliko huyu, chini ya mwaka mmoja, akipewa pombe anywe. Wenyewe wanasema 'haina shida anaonja tuu'. Najua hata nyiyni wenzangu mmeshuhudia haya, na labda mnamjua mtoto angalau mmoja anayeonja.
Wazazi wenzangu mnasemaje juu ya tabia hii ya kuwaruhusu watoto kunywa vilevi wangali wadogo, hata kama ni kuonja tuu? na tufanyeje kuwashauri wazazi wenzetu wenye tabia hii waone adhari zake?
Picha na Mroki Mroki.

6 comments:

Anonymous said...

i agree your idea ! very nice blog

Anonymous said...

Saw your work, my feeling is that if everyone can be more exchanges, we should be more than is now the world like this!

Severin Edward said...

Hongera sana Jiang, Xchyler (na baba mtoto pia). Blog safi sana hii!

Hii issue ya mtoto anaekata kilaji imeniacha hoi, hasa kwa kuwa sielewi ni nani kati ya wafuatao atakuwa anahusika na anapaswa/alipaswa kuwajimbika:

1. Mtoto
2. Mzazi
3. Jamii i.e watu waliopo hapo
4. Muuza pombe
5. Serikali na sheria ...
6. Wasimamia sheria

All in all, yatupasa kubadilika, na inaanza na ...

Anonymous said...

Although we have differences in culture, but do not want is that this view is the same and I like that!

Anonymous said...

A friend told me this place I have been looking for, I come, it turned out, I have not disappointed, good Blog

Anonymous said...

Big up Jiang, I love your blog