Jamani wadau msione kimya kingi, niko bush, Mbeya, nakula hewa safi,
wali wa ukweli na matoke, mboga ni samaki wa ziwa nyasa na kuku wa kienyeji haswa! Mkiona kimya mjue sehemu zingine not richabo, ila najitahidi kuwachungulia kila siku. Picha za huko zinaanza hivi...
Ukitoka shule inasaidia kubeba mdogo wako.
No comments:
Post a Comment