Monday, May 4

Am Baaaack!

Wadau wote wa Mama na Mwana nachukua nafasi hii kuwaomba radhi kwa kutoonekana kwa siku kadhaa hewani, ni kutokana na kuwa mbali sana, nilikua Liwale, Lindi, ambako mtandao ni hadi kwa mkuu wa wilaya.
Ila sasa nimesharudi town, karibuni tuendeleze yale mnayoyapenda…

1 comment:

Anonymous said...

hivi ukienda safari huwa unaenda na kabebii au unakaacha