Tuesday, May 12

Is it a Boy?...Is it a Girl?

Hilo ni swali ambalo wazazi wengi huwa wanajiuliza wakiwa wanatarajia kupata mtoto.
Zamani ilikua unasubiri hadi mtoto azaliwe ndio ujue jibu la swali hilo, ila kutokana na maendeleo ya tekinolojia ya siku hizi ni uamuzi wako tu, umalize ubishi na ujue kabla ya mtoto kuzaliwa au usubiri surprise siku ya kuzaliwa.
Hapo kulia kwako kuna swali, 'Unapendalea kujua jinsia ya mtoto wako kabla hajazaliwa?' Bonyeza NDIO au HAPANA, tuone wadau wengi wanapendelea lipi kati ya hilo.

2 comments:

Lulu said...

Kwa ninavyodhani mimi mara nyingi kwa mtoto wa kwanza huwa hatujali sana atakayekuja ndo huyo huyo, ila kwa wanaofuata huwa tuna kimuhemuhe kujua ni gani ili kujua kama tumechanganya jinsia au la.

mama mtarajiwa said...

mimi napenda iwe suprise hapa nilipo ni mjamzito miezi sita last clinic midwife aliniuliza if nataka kujua au vipi nikamwambia no. tunataka hiyo siku iwe ya pekee tutakapoambiwa mmepata baby girl or boy. hayo ni mawazo yetu mimi na hubby wangu.