Tuesday, May 12

Toys kwa Watoto Wadogo (0-9mths)

Nasri Charunga na toys zake.
*****
Sina uhakika na hiyo ya mdomoni, ila ma sure hiyo ya rangi za yanga ni rattle, yani toy yenye vitu kama vikengele ndani vinayocheza na kulia ikitingishwa.
Toy hii, pamoja na pop-up toys zinafaa sana kwa watoto wadogo tangu kuzaliwa hadi miezi tisa (9).
Wataalam wanasema zinasaidia kuendeleza milango ya fahamu ya mtoto pia inasaidia mtoto kujua kuwa akifanya hivi hiki kinatokea, mfano akitingisha hiyo toy itatoa mlio.

Posted by Picasa

2 comments:

Anonymous said...

naomba mama mtoto uwe makiniusimwachie mwanao achezee vibanio vya pazio si vizuri kwa afya yake vinaweka bacteria hivo

Mama laryn said...

Hi wadau wote, mi naomba nifahamishwe kwa uzoefu wenu ni vitu gani safe kwa watoto kuchezea at early stages maana wao kila washikacho break ya kwanza ni mdomoni.

pia kwa wale wenye watoto wa kike ambao wameshawatoboa masikio opinion zao zikoje juu ya kumtobolea mtoto masikio kwa sonara or kwa sindano kawaida, kuana madhara yoyote haswa kwa sonara?

Mama Laryn