Monday, May 11

Congrats Ilhaam!

Ilhaam (6yrs) akionyesha cheti chake siku alipopata ka-digirii kake ka chekechea pale Feza Schools.

Hapa naona anatoa speech.

Keki ni muhimu!

Haka kamdomo kanaonyesha kameshanogewa na keki.
Mama na baba wanakupongeza sana.

No comments: