Monday, May 11

Rosemary na Inno


Rosemary wa HIMA Tours akiwa na mumewe Innocent wa TSN.
Hawa wawili wameoana mwaka jana, na sasa kama wadau mnavyoona, ndoa ishajibu na ni watarajiwa.
Rose sijaongea nae karibuni, ila najua Inno anasubiri kwa hamu huyo mtoto, maana kila siku ni story kuhusu mtoto mtarajiwa.
Mama na Mwana inawapongeza na kuwakaribisha kwenye club.
Posted by Picasa

No comments: