May 15, mdau Glory alisherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kuzaliwa ndani ya sailor dress...cuuute!
Hapa yuko na mama, Jackline John (wa DarHotWire) akiwa amembeba.
Jamani mtoto amependeza sana, Jack unajitahidi kumpendezesha binti, na alivyo m-cute, hakuangushi, kila nguo inamkubali.
Wadau woote tunamtakia maisha marefu yenye heri na fanaka tele.
3 comments:
Anonymous
said...
hongera toto, kwa uzuri ulionao..Mungu azidi kukupa maisha marefu na mama akulee vizuri eeh. Unajina zuri sana baby girl kama ulivyo, hongera sana kwa kutimiza mwaka 1 by Lulu
hahaha wababa wengine mwajitokeza duh! KAMA WEWE BABA YAKE TAJA JINA LAKO HATA MAMA YAKE AKISIKIA DUH ATASHANGAA HUYO BABA NI NANI ANAYEJIPENDEKEZA KWA HUYO MTOTO
3 comments:
hongera toto, kwa uzuri ulionao..Mungu azidi kukupa maisha marefu na mama akulee vizuri eeh. Unajina zuri sana baby girl kama ulivyo, hongera sana kwa kutimiza mwaka 1 by Lulu
Mnipongeze na mimi Babayake kwa malezi mazuri nimpayo. Anyawy macho yanini sasa, unafikiri mimi sio babayake. Munguakujalie Busara na Hekima Mwanangu.
hahaha wababa wengine mwajitokeza duh! KAMA WEWE BABA YAKE TAJA JINA LAKO HATA MAMA YAKE AKISIKIA DUH ATASHANGAA HUYO BABA NI NANI ANAYEJIPENDEKEZA KWA HUYO MTOTO
Post a Comment