Monday, June 1

Valencia

Valencia, breath taking B-E-A-U-T-Y.....
*****


Hii ndio historia ya jina la mtoto Valencia, kama inavyosimuliwa na mama yake, Lulu Kilonzo, "Nikiwa mjamzito, nilikuwa nafikiria ni jina gain nimpe mtoto wangu kwani nilishajua kuwa nina kabinti tumboni. Kwa kweli nilikuwa ninataka jina litakalo kuwa na maana nzuri na pia litakalo unganisha majina yote yaliyopo kwenye familia yangu yaani baba, mimi na watoto.
Nikapata jina la Vanesa, amablo nililipenda ukizingalia kuwa ninampenda sana mwanamuziki Vanesa (Save the best for last) na mcheza tennis Sasa ilikuwa nijifungue January 2008 duh!! Basi nikapitiliza zaidi ya week 42 mpaka dr wangu Shafiq akaamua kunifanyia induction mwezi February huo sasa, baada ya kujifungua ndo nikagundua kuwa ilikuwa ni Feb 14 2008 yaani Valentine’s day!!!!
Ikabidi hapo hapo tukubaliane na babake kuwa mtoto tumuite Valencia yaani ni Muunganiko wa majina ya babake, mimi na nduguze vale lakini pia tuliheshimu “Valentine” The meaning of the name Valencia is Strength, Health.
*****
Sina la kuongezea juu ya hilo jina, lakini duh, huyu mtoto mzuri jamani....mi hata nashindwa kuongea.

7 comments:

Anonymous said...

oooooooooooooohhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

Anonymous said...

Mtoto mzuri sanaaaa!! Likini Mdau neno "induction" ni geni wakati mwingine mtufafanulie maneno mageni sio wote ni madaktari.

Anonymous said...

Mtoto wako mzuri nimempenda sana. Mungu akubariki Valencia !!

Anonymous said...

Lulu what a scrumptious baby,kumbe una wawili? jamani itabidi nikija dar tuonane. Mie nina mmoja wa kiume born may 2008.love Rehema Ndimbo

Lulu said...

Rehema please write to me lulukilonzo@yahoo.com

Love you baby gal!!!

Jiang ahsante kwa mtandao wako kwani unatuunganisha

Thanks

shamim a.k.a Zeze said...

cute baby!!

Anonymous said...

yeuwiiiii

mtoto mzuri balaa khaaaa,so healthy,happy,beautyness etc

nnavotamani apa acha tu