Friday, May 29

Happy Birthday Aggy

Agnes Mkumbo, akisherehekea kutimiza miaka minne iliyofanyika kwao mtaa wa Ghana, huko Rock City, Mwanza, jumapili ya tarehe 17, April.

4 comments:

Anonymous said...

Jamani huyu baby ni mzuri. Anavutia kweli. Naomba basi utueleze wazazi wake ni akina mama tuwapongeze kwa mtoto wao kufikisha umri huo. Mungu awatunzie na kumkuza.

Anonymous said...

jamani miaka mi4 au nane? she looks big, mama hongera sijui unampa nini mwanao inaelekea ana apetite hadi natamani amgawie na mwanangu. Mungu amjaalie afya njema na maisha yaliyo barikiwa

Anonymous said...

Mimi naona wazazi wake ndio hao hao wanaoshughulika naye kuhakikisha kuwa mtoto wao anafurahia birthday yake.Mtoto mzuri!! ana macho ya kurembua.

Anonymous said...

Mimi naona wazazi wake ndio hao hao wanaoshughulika naye kuhakikisha kuwa mtoto wao anafurahia birthday yake.Mtoto mzuri!! ana macho ya kurembua.