Friday, May 29

Kiti cha Bembea

Huyu ni Dorry Nkone, mama yake, Mirium Msangi anasema "Dorry anamind kubembea huyoooo balaaaa, anasema hadi analala hapooo."

Prince Franco Samo akileta fujo nyumbani kwao, juu ya kiti cha kubembea.
*****
Kiti cha bambea kama hiki unaweza kukitumia kumbambelezea na kumfurahisha mtoto au kumuweka baby atulie wakati fulani kama hutaki usumbufu, hivyo vikorokocho hapo juu vitamikeep busy kwa muda kidogo, ni kajela flani hivi kwa mtoto, Xchyler keshakagutukia, bila kitu cha kula humkalishi hapo dakika mbili anaanza kupiga kelele atolewe!
Posted by Picasa

1 comment:

Anonymous said...

Wadau vipi mtoto huyu hawezi kudondoka? Mbona bado mdogo kwa kubembea au bembea hiyo ni ya aina yake,ya kumshikilia mtoto wengine hatujui,maana yake hatujawahi kuona