tumehama

Showing posts with label Baby Gadgets. Show all posts
Showing posts with label Baby Gadgets. Show all posts

Monday, January 7

My motherhood favourate things!

Happy New Year, jamani msharudi au bado mko holiday?Mie niko full hapa...
Juzi kati nilikua nasoma article ya favourate things za Oprah, nikapata wazo (call it kukopi na kupaste if you like LOL) mimi favourate things zangu ni zipi?

Nimezilist hapa, kizuri kula na wenzio, kibaya... nazitumia kila mara, nazipeeeeeenda balaa!

Organics Shea Butter detangling hair lotion

Ningejuaje bila kuwa na binti...afu nikapata mtu anayepractise ya kizuri kula na wenzio...Nimenunuliwa na workmate, Anna Temu (mama LeRoy & Lakisha), kuchana nywele sio issue tena, acha nifuge afro la mwanangu mie kwa raha zangu maana nywele keshapewa na bibi'ye!
Thanks Anna (mwenyewe anadai analipia mahari taratibu)

UNATAKA KULA NAMI VIZURI VINGINE? ZAMA NDANI...

Wednesday, June 6

Kibuyu vs Avent



Hivi chupa za my beloved Avent zinauzwa bei gani siku hizi? najua chuchu zake tu ni kati ya 13,000/- na 15,000/-! Kuafatisha wazungu kunatuharibu wakati kuna vitu natural am sure ukimuomba mmasai akuuzie atakushangaa, ila it serves the same purpose...I wish wengi wetu tungeendelea na baadhi ya tamaduni zetu kama hizi...hiyo haichemshwi wala kuosha na maji ya moto haumwi chochote huyu!!

Friday, May 29

Kiti cha Bembea

Huyu ni Dorry Nkone, mama yake, Mirium Msangi anasema "Dorry anamind kubembea huyoooo balaaaa, anasema hadi analala hapooo."

Prince Franco Samo akileta fujo nyumbani kwao, juu ya kiti cha kubembea.
*****
Kiti cha bambea kama hiki unaweza kukitumia kumbambelezea na kumfurahisha mtoto au kumuweka baby atulie wakati fulani kama hutaki usumbufu, hivyo vikorokocho hapo juu vitamikeep busy kwa muda kidogo, ni kajela flani hivi kwa mtoto, Xchyler keshakagutukia, bila kitu cha kula humkalishi hapo dakika mbili anaanza kupiga kelele atolewe!
Posted by Picasa

Sunday, January 4

Baby Gadgets - Stroller

Dalvis Mlingi akiwa kwenye stroller yake ambayo mama yake, Joyce Macha, amehakikisha amemetisha rangi.
***
Watu wengi wananunua hiki kifaa kinachoitwa stroller, mi kiswahili chake sikijui, hata Xchyler anayo. Nnachotaka kujua ni, hivi na vumbi letu la bongo, tunakitumia wapi ambako ni salama na watoto wetu hawatamwagiwa mavumbi kifaa hiki?

Tuesday, December 23

Baby Gadgets -Baby Walker

Mtoto Dalvis Mlingi akichezea baby walker, kifaa hiki hutumika kumsaidia mtoto anayejifunza kutembea. Mnakumbuka enzi zetu nini kilikua kinatumika kuwasaidia watoto wanaoanza kutembea?

Monday, December 1

Baby Gadgets - Bath Tub


Davis Mlingi akiwa bize kweye bathtub yake. Ukiwa na kifaa kama hiki, lazima upende kumuogesha na yeye atayapenda maji, coz bath time inakuwa fun time!