Tuesday, December 23

Baby Gadgets -Baby Walker

Mtoto Dalvis Mlingi akichezea baby walker, kifaa hiki hutumika kumsaidia mtoto anayejifunza kutembea. Mnakumbuka enzi zetu nini kilikua kinatumika kuwasaidia watoto wanaoanza kutembea?

3 comments:

Anonymous said...

jiang umenikumbusha mbali.

enzi zetu sisi tulitegemea ukuta ndiyo uliotusaidia kutembea

Anonymous said...

mtoto anaanza kutumia hii kitu akifika muda gani?my son is five months, hapendi sana kukaa japo anakaa anapenda kusimama na anapenda kama akiwa amesimama alafu kama unamtembeza ivi. is this too early?
mama P

Anonymous said...

Hiki kwa bongo wanaweza tumia ila kwa ndani au nje ikiwa unapoishi kupo flat kumetengenezwa vizuri sio mabone na korogisheni haitafaa. Ila unabidi usome muda wa kutumia sio unakurupuka mapemaa mtoto kumsimamisha apate matege watch out