mtoto anaanza kutumia hii kitu akifika muda gani?my son is five months, hapendi sana kukaa japo anakaa anapenda kusimama na anapenda kama akiwa amesimama alafu kama unamtembeza ivi. is this too early? mama P
Hiki kwa bongo wanaweza tumia ila kwa ndani au nje ikiwa unapoishi kupo flat kumetengenezwa vizuri sio mabone na korogisheni haitafaa. Ila unabidi usome muda wa kutumia sio unakurupuka mapemaa mtoto kumsimamisha apate matege watch out
3 comments:
jiang umenikumbusha mbali.
enzi zetu sisi tulitegemea ukuta ndiyo uliotusaidia kutembea
mtoto anaanza kutumia hii kitu akifika muda gani?my son is five months, hapendi sana kukaa japo anakaa anapenda kusimama na anapenda kama akiwa amesimama alafu kama unamtembeza ivi. is this too early?
mama P

Post a Comment